
June 24 Lionel Messi anakumbuka siku yake ya kuzaliwa, leo June 24 2016 anatimiza umri wa miaka 29, Lionel Messi ameweka rekodi nyingi katika soka ikiwemo ya kutwaaBallon d’Or mara 5. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee mambo matano kuhusuLionel Messi leo katika kumbukumbu yake ya kuzaliwa.
1- Mechi amecheza juml ya mechi 643.
2- Amefanikiwa kufunga jumla ya magoli 508.
3- Ametoa assist 213.
4- Ameshinda jumla ya mataji 28 katika soka.
5- Lionel Messi amefunga zaidi ya hat-trick 30 katika soka.
No comments:
Post a Comment