Thursday, June 23, 2016

UPDATE: VANESSA MDEE KATAJWA KUWANIA TUZO ZA NIGERIA ENTERTAINMENT

Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee jina lake limeingia kwenye headlines baada ya kutajwa katika moja kati ya tuzo kubwa Nigeria EntertainmentVanessa ametajwa kuwania tuzo zinazoitwa Nigeria Entertainment Awards.
Jina la muimbaji Vanessa Mdee limetajwa katika kipengele cha kuwania tuzo ya muimbaji bora wa kike, katika kipengele hicho Vanessa anawania tuzo hiyo na wasanii wengine saba kutoka nchi mbalimbali, Nigeria Entertainment Awards zitafanyika New York Marekani, September 4 2016.
adaa

Waliotajwa kuwania tuzo hiz katika kipengele cha msanii bora wa kike ni Efya wa Ghana,Lira wa South AfricaMZ  Vee wa GhanaSheebah wa UgandaKnowless waRwandaVictoria Kimani wa KenyaAdiouza na Vanessa Mdee wa  Tanzania

No comments:

Post a Comment