Thursday, June 23, 2016

UPDATE: KASSIM MGANGA KAJA NA SINGLE MPYA KWA JINA MANUARI.



Kassim Mganga ni miongoni mwa wakali wenye majina yao ndani ya bongofleva, akiwa na hits kama ‘awena‘ ‘I love you‘ na nyingine.
Sasa good news ni kwamba star huyo leo June 22, 2016 kaachia rasmi single yake mpya iitwayo Manuari imetayarishwa na producer Sheddy Clever, unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hapa.

No comments:

Post a Comment