Wednesday, June 22, 2016

UPDATE: VANESSA MDEE AIBUKA NA KUONGEA KUHUSU BEEF NA SHILOLE


Baada ya kuwepo kwa taarifa zilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana beef, ukweli umejulikana, OnAIRwithMillardAyo imempata Vanessa amezungumzia beef hiyo’…….
’Shilole alikuwa ameongea kwamba ni mrembo kuliko msichana yeyote kwenye bongo fleva,  nasikia mashabiki wakaibeba wakasema hakuna wa kulinganishwa na V, baada ya kuona watu wanatengeneza kama shindano akanieleza alikuwa anatania lakini mimi sikuchulia serious na nilikuwa nimesahau kabisa’

No comments:

Post a Comment