UPDATE : ISIKILIZE TRACK MPYA YA DOGO JANJA NA RADIO AND WEASEL HAPA
Baada yakuuvunja ukimya kwa hit single ya ‘My Life‘ Dogo Janja kutoka Tip Top Connection amekutana nawakali kutokea pande za Uganda, Weasel na Radio na wakaifanya hii remix ya ‘My life’, unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play hapa chini…..
No comments:
Post a Comment