je wewe ni mpenzi wa mieleka na umekuwa ukibisha kwamba mieleka sio maigizo basi pitia ushahidi huu ili uweze kuelewa trainingwanazopata wwe warriors kabla ya ya kufuzu kucheza mchezo wa mieleka
June 24 Lionel Messi anakumbuka siku yake ya kuzaliwa, leo June 24 2016 anatimiza umri wa miaka 29, Lionel Messi ameweka rekodi nyingi katika soka ikiwemo ya kutwaaBallon d’Or mara 5. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee mambo matano kuhusuLionel Messi leo katika kumbukumbu yake ya kuzaliwa.
Ikiwa ni siku tatu zimepita tangu mbunge wa UlangaGoodluck Mlinga kusimama bungeni na kuomba mwongozo wa spika kuhusu kitendo cha kuvuliwa kofia ‘baraghashia’ na mbunge wa viti maalum CHADEMAAnatropia Theonest. Naibu spikaDk.Ackson Tulia kalitolea ufafanuzi baada ya kupitia CCTV camera za bunge .
Baada yakuuvunja ukimya kwa hit single ya ‘My Life‘ Dogo Janja kutoka Tip Top Connection amekutana nawakali kutokea pande za Uganda, Weasel na Radio na wakaifanya hii remix ya ‘My life’, unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play hapa chini…..
June 22 2016 mwigizaji na msanii wa bongofleva Naj ali-trend na habari kuwa ana ujauzito wa mwimbaji wa bongofleva Baraka Da Prince sasa baada ya Naj kurudi bongo akitokea London June 21, kapatikana na kuongelea mbele ya AyoTV na millardayo.com
Kijana mmoja mkoani Tanga Jumatano hii ameziondoa sehemu zake zote za siri kwa kuzikata na kitu chenye ncha kali.
Akiongea katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm Alhamisi hii, Daktari wa Idara ya Upasuaji katika Hospitali ya Muheza mkoani Tanga, Dk. Abas Mussa, amesema jana majira ya mchana walimpokea mgonjwa huyo akiwa hana sehemu zake zote za siri.
Kassim Mganga ni miongoni mwa wakali wenye majina yao ndani ya bongofleva, akiwa na hits kama ‘awena‘ ‘I love you‘ na nyingine.
Sasa good news ni kwamba star huyo leo June 22, 2016 kaachia rasmi single yake mpya iitwayo Manuari imetayarishwa na producer Sheddy Clever, unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hapa.
Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee jina lake limeingia kwenye headlines baada ya kutajwa katika moja kati ya tuzo kubwa Nigeria Entertainment, Vanessa ametajwa kuwania tuzo zinazoitwa Nigeria Entertainment Awards.
Haya mambo manne ni sehemu tu ya mambo ambayo Alikiba atafaidika nayo baada ya kusaini mkataba na kampuni kubwa na maarufu kwenye biashara ya muziki dunianiSONY MUSIC, bonyeza play kwenye hii video hapa chini ili kufahamu zaidi
Wiki mbili zilizopita taarifa zilienea kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana bifu, ukweli umejulikana usiku wa May 29 2016, kuwa haikuwa bifu bali ni promo ya show yao ya pamoja waliofanya usiku huo club Bilicanas,
Baada ya kuwepo kwa taarifa zilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana beef, ukweli umejulikana, OnAIRwithMillardAyo imempata Vanessa amezungumzia beef hiyo’…….
’Shilole alikuwa ameongea kwamba ni mrembo kuliko msichana yeyote kwenye bongo fleva, nasikia mashabiki wakaibeba wakasema hakuna wa kulinganishwa na V, baada ya kuona watu wanatengeneza kama shindano akanieleza alikuwa anatania lakini mimi sikuchulia serious na nilikuwa nimesahau kabisa’
Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msanii kutoka Bongoflevani Abdu Kiba yuko tayari kujiunga na Lebel ya WCB ya Diamond Platnumz, June 8 2016 AyO TV pamoja na millardayo.com imekutana na Abdu Kiba na katoa majibu haya kutokana na taarifa hii ya kujiunga WCB.
Karibu bongoup uwezekupata updates na kujifunza vitu mbalimbali katika mchanganyiko unaopatikana katika blog yetu, Blog ya bongoup itajikita katika kuhakikisha unakuwa updated katika maswala mbalimbali ya kimichezo, kiteknolojia,kisiasa n.k huku lengo letu likiwa ni kuhakikisha unakuwa updated katika masuala yote kiujumla
karibu sana.