Monday, July 4, 2016

UPDATE: Kendrick Lamar na Janelle Monáe waalikwa ikulu ya Marekani

janelle-monae-kendrick-lamar
Ikulu ya Marekani imewaalika Kendrick Lamar na Janelle Monáe kwa ajili ya kufanya onesho la kuwakumbuka wanajeshi mashujaa wa nchi hiyo Jumatatu hii.


Kupitia kwa msemaji wa ikulu hiyo, wasanii hao wataperform kwenye sherehe za kuwakumbuka wanajeshi mashujaa wa nchi hiyo huku wakiongozwa na rais Obama pamoja na mkewe, Michelle.
Msemaji wa ikulu hiyo Josh Earnest alisema, “White House staff and their families from throughout the administration will also attend this event for the fireworks viewing.”
“There will also be a performance on Monday evening by fellow Kansas Citian Janelle Monáe and Kendrick Lamar,” aliongeza.

No comments:

Post a Comment