Thursday, July 7, 2016

UPDATE: GoodNEWS: Mwimbaji Baraka Da Prince aingia alipo Alikiba

TUFF5666
Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi ninayo stori inayomuhusu msanii wa Bongo Fleva, Baraka Da Prince ambaye July 7, 2016 anazimiliki headlines kwenye muziki wa Bongo Fleva baada ya kusaini mkataba wa kufanya kazi na label ya Rockstar4000.




Label hiyo ambayo inafanya kazi na staa Alikiba itasimamia pia kuandaa album yaBaraka Da Prince inayotarajiwa kuachiwa mwaka 2017, pia moja ya kazi za mkataba huo ni kumtengeneza Baraka Da Prince kwenye kiwango cha juu zaidi kimuziki na kimataifa


No comments:

Post a Comment