Thursday, July 7, 2016

UPDATE: GoodNEWS: Mwimbaji Baraka Da Prince aingia alipo Alikiba

TUFF5666
Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi ninayo stori inayomuhusu msanii wa Bongo Fleva, Baraka Da Prince ambaye July 7, 2016 anazimiliki headlines kwenye muziki wa Bongo Fleva baada ya kusaini mkataba wa kufanya kazi na label ya Rockstar4000.

Monday, July 4, 2016

UPDATE: video ya wimbo mpya wa lina Linah – Imani



Msanii Linah Sanga, ametoa Video ya mpya ya wimbo “Imani”. Video imeongozwa na Joowzey.

UPDATE: Kendrick Lamar na Janelle Monáe waalikwa ikulu ya Marekani

janelle-monae-kendrick-lamar
Ikulu ya Marekani imewaalika Kendrick Lamar na Janelle Monáe kwa ajili ya kufanya onesho la kuwakumbuka wanajeshi mashujaa wa nchi hiyo Jumatatu hii.

UPDATE:Lady Jaydee – kila baada ya miezi mitatu nitakuwa natoa wimbo mpya

Buff Bantam Hen {Gallus gallus domesticus} with nine of her ten chicks, 2-days-old. The tenth chick is under her
Msanii mkongwe wa muziki Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ amefunguka kwa kusema kuwa hataki tena kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia kazi.

UPDATE: Diamond kuwapa shavu visura wa Bongo kwenye video ya ngoma aliyomshirikisha Raymond


Staa huyo ametangaza kuwa wiki hii ataanza kushoot video ya wimbo aliomshirikisha msanii aliyechini ya label yake ya WCB, Raymond na kuwataka wasichana wote wanaodhani wana urembo wa kuing’arisha video yake wazeme kwenye DM.

UPDATE: Ommy Dimpoz, Wayne Rooney wala bata pamoja Ibiza, Hispania


Kama kuna sehemu inayotembelewa zaidi duniani na watu ambao hawana kabisa stress ya kitu kinachoitwa ‘Pesa’ basi Ibiza, Hispania inaongoza. Ibiza ni kisiwa cha raha, burudani, starehe na bata la kila aina. Ni sehemu ambayo nyota wa Manchester United na England, Wayne Rooney na familia yake wanapumzika kwa sasa baada ya timu yake ya taifa kutolewa kwenye Euro 2016.

Saturday, July 2, 2016

UPDATE:Luda Chris amnunulia mke wake gari aina ya Mercedes AMG G63 yenye thamani ya $160k.


13549449_245977469122891_857658471_n
Hakuna mwanamke asiyependa surprise. Mke wa Ludacris kapewa shtukizo la nguvu kwa kuzawadiwa gari aina ya Mercedes AMG G63 yenye thamani ya $160k.

UPADATE: Young Dee akirekebisha makosa aliyofanya Mtu Chee ruksa kurudi kundini – Stamina

13531968_1101664066571243_1094846367_n
Hivi karibuni Young Dee alithibitisha tetesi za kutumia madawa ya kulevya na kutangaza kuwa ameacha. Wiki hii ameachia ngoma yake mpya ‘Hands Up.’

UPDATE:Tafsiri ya ongezeko la 18% (VAT) ya makato ya miamala ya benki kuanza Ijumaa hii (July 1)



Ijumaa hii itakuwa tofauti kwa wateja wengi wa benki nchini. Ni kwasababu benki karibu zote kuanzia July 1, zitaanza kutumia sheria mpya ya fedha ya mwaka huu iliyopitishwa na bunge la 2016/17

UPDATES: Scott aachana na unga Storch na kurudi kwa Dr. Dre

alikiba1
Kabla ya kuingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, Storch aliwahi kutengeneza hits za mastaa kibao akiwemo 2Pac, 50 Cent, Beyonce, Lil Wayne, The Game, Dr. Dre na wengine wengi.

Friday, July 1, 2016

UPDATE: heshima ya Diamond aliyompa Alikiba Hii ndiyo heshima ya Diamond aliyompa Alikiba

Bongo
Ni muda mrefu imezungumzwa kuwa Diamond na Alikiba wana bifu mpaka kupelekea kuanzishwa kwa baadhi ya team za mitandaoni za kukejeli mafanikio ya msanii wa team nyingine lakini hiyo ni dalili kuwa ipo siku itabaki historia tu.

UPDATE: Bosi wa kampuni ya Nike ajiuzulu nafasi yake


Habari za ndani zimedai kuwa moja ya sababu zilizomfanya ajiuzulu kwenye nafasi yake hiyo ni umri wake wa miaka 78 huku nafasi hiyo ikitajwa kuchukuliwa na Mkurugenzi mkuu wa wa kampuni ya Apple, Mark Parker.

UPDATE: Ruby ‘awamind’ Yamoto Band kwa kumpotezea kwenye video ya wimbo waliomshirikisha

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa siku ambayo Yamoto Band walikuwa wakishoot video hiyo yeye alikuwa na mambo yake mengine hivyo alikuwa busy, lakini aliwaomba kama wanaweza wasubiri kidogo amalize na hizo kazi zake lakini wao waliamua kuifanya hivyo hivyo.

UPDATE: Vanessa akiongelea changamoto za ustaa na mradi wake mkubwa ujao



“Ni kitu ambacho naamini kitabadilisha kidogo uwepo wangu kwenye game, I am very confident nikisema hivyo,” ameongeza.

UPDATE: Jay Moe: Ni lazima nitakuja kufanya video ya Famous

13249930_815259015274264_92309098_n
Amesema katika nyimbo zake zote, Famous aliomshirikisha P-Funk Majani, bado anaendelea kuusikia ni mpya kila anapousikia. Moe ameongeza kuwa watu wengi hata leo wameendelea kumlaumu kuwa aliupoteza bure.