
Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi ninayo stori inayomuhusu msanii wa Bongo Fleva, Baraka Da Prince ambaye July 7, 2016 anazimiliki headlines kwenye muziki wa Bongo Fleva baada ya kusaini mkataba wa kufanya kazi na label ya Rockstar4000.